Picha 13 za Naibu Spika akiosha Magari mjini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima (Media car wash) iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma ambapo alichangia shilingi milioni tano.












No comments